Ufafanuzi wa mchonganishi katika Kiswahili

mchonganishi

nominoPlural wachonganishi

  • 1

    mtu anayefanya watu wagombane.

    mchochezi, mpeketevu, salata

Matamshi

mchonganishi

/mt∫ɔngani∫i/