Ufafanuzi wa mchoto katika Kiswahili

mchoto

nominoPlural michoto

  • 1

    tendo la kuchota sehemu ya kitu k.v. nafaka au maji.

Matamshi

mchoto

/mt∫ɔtɔ/