Ufafanuzi wa mchovyo katika Kiswahili

mchovyo

nominoPlural michovyo

  • 1

    chombo cha pambo ambacho kimepakwa dhahabu kwa juujuu tu bali chenyewe si cha asili hiyo.

  • 2

    mtindo wa kuchovya.

Matamshi

mchovyo

/mt∫ɔvjɔ/