Ufafanuzi wa mchoyo katika Kiswahili

mchoyo

nominoPlural wachoyo

  • 1

    mtu asiyetaka kutoa kitu na kumpa mwingine.

    mnyimi, bahili

Matamshi

mchoyo

/mt∫ɔjɔ/