Ufafanuzi wa mchuano katika Kiswahili

mchuano

nominoPlural michuano

  • 1

    mashindano ya michezo mbalimbali k.v. mchezo wa mpira au riadha.

Matamshi

mchuano

/mt∫uwanɔ/