Ufafanuzi wa mchuchupao katika Kiswahili

mchuchupao, mchichipao

nominoPlural michuchupao

  • 1

    hali ya kukazika msuli au misuli ya mkono, mguu au paja kutokana na jeraha au maradhi.

Matamshi

mchuchupao

/mt∫ut∫upawɔ/