Ufafanuzi wa mchumbururu katika Kiswahili

mchumbururu

nomino

  • 1

    samaki mwenye mdomo mrefu kama upanga.

    chuchunge

Matamshi

mchumbururu

/mtāˆ«umbururu/