Ufafanuzi wa mchunga katika Kiswahili

mchunga

nomino

  • 1

    mboga yenye majani marefu, membamba na machungu.

Matamshi

mchunga

/mtāˆ«unga/