Ufafanuzi wa mchunguzi katika Kiswahili

mchunguzi

nominoPlural wachunguzi

 • 1

  mtu anayefanya kazi ya kutafuta mambo ya kielimu ili kuyafahamu zaidi.

 • 2

  mtu anayefanya kazi ya kutafuta mambo ili kupata hakika yake.

 • 3

  mtu mwenye tabia ya kutafuta habari za watu ambazo hazimhusu.

  mbeya

Matamshi

mchunguzi

/mt∫unguzi/