Ufafanuzi wa mchuuzi katika Kiswahili

mchuuzi

nomino

  • 1

    mtu afanyaye biashara ya kuuza vitu rejareja.

Matamshi

mchuuzi

/mt∫u:zi/