Ufafanuzi wa mchwa katika Kiswahili

mchwa

nominoPlural mchwa

  • 1

    mdudu mweupe wa jamii ya chungu anayejenga kichuguu na hula sana miti na vitu vilivyotengenezwa kwa miti.

Matamshi

mchwa

/mt∫wa/