Ufafanuzi wa mdaa katika Kiswahili

mdaa

nominoPlural midaa

  • 1

    mmea ambao mizizi yake hutengenezwa rangi ya manjano iliyokoza ya kutilia kili za mikeka, pia hutumiwa, agh. na wanawake, kupigia mswaki.

    msizi, msirisha

Matamshi

mdaa

/mda:/