Ufafanuzi wa mdadisi katika Kiswahili

mdadisi

nominoPlural wadadisi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutafutatafuta jambo kwa kuulizauliza.

    mpelelezi, mtafiti

Asili

Kar

Matamshi

mdadisi

/mdadisi/