Ufafanuzi msingi wa mdai katika Kiswahili

: mdai1mdai2

mdai1

nominoPlural wadai

  • 1

    mtu anayetaka kurejeshewa kitu kilicho chake kutoka kwa mwingine aliyekiazima au kukikopa.

    mwia

Asili

Kar

Matamshi

mdai

/mdaji/

Ufafanuzi msingi wa mdai katika Kiswahili

: mdai1mdai2

mdai2

nominoPlural wadai

  • 1

    mtu aliyepeleka madai yake mahakamani.

    mshtaki

Asili

Kar

Matamshi

mdai

/mdaji/