Ufafanuzi wa mdakale katika Kiswahili

mdakale

nominoPlural midakale

  • 1

    mrija wa buruma au kiko kikubwa cha kuvutia tumbaku.

Asili

Kar

Matamshi

mdakale

/mdakalɛ/