Ufafanuzi wa mdakizi katika Kiswahili

mdakizi

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuingilia kati maneno ya watu.

Matamshi

mdakizi

/mdakizi/