Ufafanuzi wa mdarabi katika Kiswahili

mdarabi

nomino

  • 1

    mti unaozaa matunda yanayofanana na mapera lakini madogo.

    mgulabi

Asili

Kar

Matamshi

mdarabi

/mdarabi/