Ufafanuzi wa mdeki katika Kiswahili

mdeki

nominoPlural mideki

  • 1

    ufito mwembamba, agh. wa chuma, wa kusafishia mtutu wa bunduki au kushindilia baruti ndani ya bunduki.

Asili

Kar

Matamshi

mdeki

/mdɛki/