Ufafanuzi wa mdeni katika Kiswahili

mdeni

nomino

  • 1

    mtu anayedaiwa na mtu mwingine.

    mwiwa, mdaiwa

Matamshi

mdeni

/mdɛni/