Ufafanuzi msingi wa mdongea katika Kiswahili

: mdongea1mdongea2

mdongea1

nominoPlural midongea

  • 1

    utupiaji wa mtandio au kanga k.v. kichwani au begani.

Matamshi

mdongea

/mdɔngɛja/

Ufafanuzi msingi wa mdongea katika Kiswahili

: mdongea1mdongea2

mdongea2

nominoPlural midongea

  • 1

    kofia nyeupe inayoshonwa kwa cherehani.

Matamshi

mdongea

/mdɔngɛja/