Ufafanuzi msingi wa mdudu katika Kiswahili

: mdudu1mdudu2

mdudu1

nomino

  • 1

    kiumbe mdogo, agh. mwenye mbawa nne, miguu sita na bila ya uti wa mgongo k.v. mbu, mchwa au mende.

Matamshi

mdudu

/mdudu/

Ufafanuzi msingi wa mdudu katika Kiswahili

: mdudu1mdudu2

mdudu2

nomino

  • 1

    ugonjwa unaosababisha sehemu ya mwili kutunga usaha kwa kuoza seli za mwili.

    ‘Mdudu wa kidole’
    ‘Mdudu upande’

Matamshi

mdudu

/mdudu/