Ufafanuzi wa mdundugo katika Kiswahili

mdundugo

nominoPlural midundugo

  • 1

    dawa inayoaminiwa kuwa inamfanya mtu anayefanyiwa dawa hiyo kutoingiwa na silaha wala kuumizwa nayo.

Matamshi

mdundugo

/mdundugɔ/