Ufafanuzi wa mdurenge katika Kiswahili

mdurenge

nominoPlural mdurenge

  • 1

    ngoma ya Wabajuni inayochezwa na watu wanaopiga miguu chini wakizunguka mduara.

Matamshi

mdurenge

/mdurɛngɛ/