Ufafanuzi wa mega katika Kiswahili

mega, megua

kitenzi elekezi

  • 1

    vunja au kata kipande cha kitu kinacholiwa kwa vidole au meno.

  • 2

    vunja k.v. maji yanavyomomonyoa udongo.

Matamshi

mega

/mɛga/