Ufafanuzi wa meko katika Kiswahili

meko

nominoPlural meko

  • 1

    mahali penye mafiga.

  • 2

    mahali au chumba maalumu cha kufanyia shughuli za kupikia.

Matamshi

meko

/mɛkɔ/