Ufafanuzi wa melimeli katika Kiswahili

melimeli

nominoPlural melimeli

  • 1

    kitambaa cheupe na chepesi kinachoonyesha ambacho, agh. hushonwa kanzu za wanaume.

Asili

Khi

Matamshi

melimeli

/mɛlimɛli/