Ufafanuzi msingi wa memba katika Kiswahili

: memba1memba2

memba1

nominoPlural memba

  • 1

    kitu kinachohusiana na kingine kilichowekwa kwenye kundi au seti; kitu cha seti fulani.

Asili

Kng

Matamshi

memba

/mɛmba/

Ufafanuzi msingi wa memba katika Kiswahili

: memba1memba2

memba2

nominoPlural memba

  • 1

    mtu aliyejiunga na kundi, klabu, chama au timu fulani na kuhesabiwa kuwa ni mmoja wao kwa kulipa malipo au kusajiliwa.

Matamshi

memba

/mɛmba/