Ufafanuzi wa membe katika Kiswahili

membe

nominoPlural membe

  • 1

    ndege anayefanana na kitwitwi lakini mkubwa zaidi mwenye rangi ya kahawia iliyochujuka kidogo, vipaku vyeusi, matako meupe na mdomo mrefu ulioinamia chini na hupenda kula wadudu waliojificha ndani ya tope.

Matamshi

membe

/mɛmbɛ/