Ufafanuzi wa menya katika Kiswahili

menya

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    ondoa maganda ya kitu k.v. chungwa au kiazi.

    kemba, gua

Matamshi

menya

/mɛɲa/