Ufafanuzi wa metali katika Kiswahili

metali

nominoPlural metali

  • 1

    madini magumu na yenye kung’ara yanayoweza kupitisha umeme k.m. chuma, shaba, bati au dhahabu.

Asili

Kng

Matamshi

metali

/mɛtali/