Ufafanuzi wa mfagizi katika Kiswahili

mfagizi

nominoPlural wafagizi

  • 1

    mtu afanyaye kazi ya kufagia.

    mfagiaji

Matamshi

mfagizi

/mfagizi/