Ufafanuzi wa mfano katika Kiswahili

mfano

nominoPlural mifano

 • 1

  kielezo kinachotolewa ili kutoa ufafanuzi wa jambo.

  ‘Mwalimu alitoa mfano wa hesabu ubaoni’
  kama

 • 2

  tabia nzuri ya kuigwa k.v. kuwahi kazini au kufanya kazi kwa bidii.

 • 3

  kinaya, kifani

Matamshi

mfano

/mfanɔ/