Ufafanuzi wa mfanyakazi katika Kiswahili

mfanyakazi

nomino

  • 1

    mtu aliyeajiriwa kufanya kazi fulani kwa malipo.

    mwajiriwa

Matamshi

mfanyakazi

/mfa…≤akazi/