Ufafanuzi msingi wa mfarishi katika Kiswahili

: mfarishi1mfarishi2

mfarishi1 , firasha

nominoPlural mifarishi, Plural wafarishi

  • 1

    tandiko mfano wa godoro jembamba lisilotiwa vitango bali hushonwashonwa tu.

Asili

Kar

Matamshi

mfarishi

/mfari∫i/

Ufafanuzi msingi wa mfarishi katika Kiswahili

: mfarishi1mfarishi2

mfarishi2

nominoPlural mifarishi, Plural wafarishi

  • 1

    mtandikaji kitanda.

Asili

Kar

Matamshi

mfarishi

/mfari∫i/