Ufafanuzi wa mfawidhi katika Kiswahili

mfawidhi

nominoPlural wafawidhi

  • 1

    mtu aliyepewa mamlaka ya kuongoza idara au kituo.

    ‘Jaji mfawidhi’

  • 2

    hatibu, mhubiri

Matamshi

mfawidhi

/mfawiði/