Ufafanuzi wa mfenesi katika Kiswahili

mfenesi

nomino

  • 1

    mti mkubwa wenye majani yaliyochongoka nchani, matawi yanayoelekea juu na huzaa matunda makubwa yenye ganda la rangi ya kijani na vidutudutu.

Matamshi

mfenesi

/mfɛnɛsi/