Ufafanuzi wa mfigili katika Kiswahili

mfigili

nominoPlural mifigili

  • 1

    mmea wenye majani makubwa ya rangi ya kijani kisichokoza, kiazi cheupe, maua madogo ya manjano yaliyo katika kishada yanayotokea nchani na majani yake ni mboga nayo huliwa mabichi.

Asili

Kar

Matamshi

mfigili

/mfigili/