Ufafanuzi wa mfinyanzi katika Kiswahili

mfinyanzi

nominoPlural wafinyanzi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutengeneza vyombo vya udongo k.v. vyungu.

    methali ‘Mfinyanzi hulia gaeni’

  • 2

    udongo unaotumika kutengenezea vyungu.

Matamshi

mfinyanzi

/mfi…≤anzi/