Ufafanuzi wa mfitini katika Kiswahili

mfitini

nominoPlural wafitini

  • 1

    mtu anayechonganisha watu ili wagombane.

    fatani, msaliti, salata, mdhabidhabina

Asili

Kar

Matamshi

mfitini

/mfitini/