Ufafanuzi wa mfiwi katika Kiswahili

mfiwi

nominoPlural mifiwi

  • 1

    mmea unaozaa fiwi, nafaka zinazofanana na maharage.

Matamshi

mfiwi

/mfiwi/