Ufafanuzi wa mfoko katika Kiswahili

mfoko

nominoPlural mifoko

  • 1

    tendo la kufoka.

  • 2

    tendo la kutoa mapovu.

Matamshi

mfoko

/mfɔkɔ/