Ufafanuzi wa mfuachuma katika Kiswahili

mfuachuma

nominoPlural wafuachuma

  • 1

    fundi wa kutengeneza vitu kwa kutumia chuma.

    mhunzi

Matamshi

mfuachuma

/mfuatʃuma/