Ufafanuzi wa mfumukobei katika Kiswahili

mfumukobei

nominoPlural mifumukobei

  • 1

    hali ya kupanda kwa bei ya vitu kutokana na kushuka kwa thamani ya fedha.

  • 2

    upungufu au ukosefu wa bidhaa sokoni.

Matamshi

mfumukobei

/mfumukɔbɛji/