Ufafanuzi wa mfundo katika Kiswahili

mfundo

nominoPlural mifundo

  • 1

    hasira au chuki ambayo mtu humwekea mwingine moyoni.

    kinyongo, dukuduku, wasiwasi

Matamshi

mfundo

/mfundɔ/