Ufafanuzi wa mfune katika Kiswahili

mfune

nominoPlural mifune

  • 1

    mti mrefu ulionyooka na matawi yake yako juu sana, shina lake lina rangi ya manjano isiyokoza, agh. hutumiwa kutundikia mizinga ya nyuki.

    mgude, mparamuzi

Matamshi

mfune

/mfunɛ/