Ufafanuzi wa mfungo katika Kiswahili

mfungo

nominoPlural mifungo

Kidini
  • 1

    Kidini
    hali ya kukaa bila ya kula au kunywa ili kutekeleza imani ya dini.

    saumu

Matamshi

mfungo

/mfungɔ/