Ufafanuzi wa mfuru katika Kiswahili

mfuru, mfuu

nomino

  • 1

    mti mrefu wenye shina la kijivu, majani yake yana vidutuvidutu na matunda madogomadogo ya duara.

Matamshi

mfuru

/mfuru/