Ufafanuzi wa mfurufu katika Kiswahili

mfurufu

nominoPlural wafurufu

  • 1

    mtu aliyechangamka.

    mpwamu, mteremezi, mterehemeshi, mchangamfu

Matamshi

mfurufu

/mfurufu/