Ufafanuzi wa mfyato katika Kiswahili

mfyato

nominoPlural mifyato

  • 1

    ubanaji wa kitu katikati ya mapaja k.v. mikono, mkia au nguo.

  • 2

    tendo la kumwogopa mtu na hivyo kunyamaza bila ya kumjibu kitu anapoongea.

Matamshi

mfyato

/mfjatɔ/