Ufafanuzi wa mfyatuko katika Kiswahili

mfyatuko

nominoPlural mifyatuko

  • 1

    mwachio wa ghafla wa kitu kilichokazwa k.v. mtego.

Matamshi

mfyatuko

/mfjatukɔ/